KUSUDI LA MUNGU KUMLETA YESU DUNIANI
Lipokusudi la kimungu kabisa la Yesu kuja duniani. Biblia inaonyesha kuwa kusudi hili ni la Mungu mwenyewe kwa upendo wake. (yohana 3: 16) Neno la Mungu lina sema, kutokana na upendo wake kwetu sisi Wanadamu, aliamua kumtoa Mwanae wa Pekee ili kutuleta Wokovu baada ya sisi kumkosea Mungu wetu aliye tuumba.