CHIRLDREN AND YOUTH MINISTRY (CYM) SINGIDA

Mratibu wa CYM parishi ya Kaselya (kulia)
 akiwa na Mchungaji Amosi wa Mtunduru 
Idara ya vijana na watoto ya Kanisa FreeCHIRLDREN AND YOUTH MINISTRY(CYM) Misheni ya SINGIDA wamefanya ziara ya uhuishaji wa huduma hii katika Parishi ya Mtunduru. Pamoja na uhuishaji huo vijana hao kwa umoja wao wakiwa katika Parishi hiyo pia wamechangia michango yao katika umaliziaji wa ujenzi wa nyumba ya Mchungaji katika kanisa hilo la Parishi ya Mtunduru.
Pentecostal Church of Tanzania

Vijana wakisalimiana baada ya Ibada 
Pia vijana ndio waliohudumu kwenye ibada wakati wakiwa huko, ibada ambayo ilihudhuriwa na wapendwa (waumini) wa parishi hiyo inayoundwa na Matawi matano(5). Wakiongea baada ya ibada kwa nyakati tofauti, Wachungaji wa Parishi hiyo wameelezea jinsi walivyofuraishwa na kutiwa moyo kwa ujio wa CYM katika Parishi Hiyo.

Popular posts from this blog

USIMWACHE MUNGU MAISHANI MWAKO (YESU)

HONGERA FPCT-SINGIDA

PASAKA NJEMA