KUSUDI LA MUNGU KUMLETA YESU DUNIANI

Lipokusudi la kimungu kabisa la Yesu kuja duniani.  Biblia inaonyesha kuwa kusudi hili ni la Mungu mwenyewe kwa upendo wake.(yohana 3: 16) Neno la Mungu lina sema, kutokana na upendo wake kwetu sisi Wanadamu, aliamua kumtoa Mwanae wa Pekee ili kutuleta Wokovu baada ya sisi kumkosea Mungu wetu aliye tuumba. 

Popular posts from this blog

USIMWACHE MUNGU MAISHANI MWAKO (YESU)

HONGERA FPCT-SINGIDA