HONGERA FPCT-SINGIDA
Dr. Paul Samwel baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari Kwa mara ya kwanza mmoja wa Viongozi wa kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania ametunukiwa shada ya juu ya Udaktari; akiongea na waandishi waandishi wa habari Dr. Paul Samwel hakuacha kuongelea uchaguzi ujao na kusema kuwa anaamini kuwa uchaguzi huu utakuwa wa amani na pia viongozi ambao Mungu amekusudia kuiongoza Tanzania Watapatikana tu!