Posts

Showing posts from June, 2013

USIMWACHE MUNGU MAISHANI MWAKO (YESU)

Usije ukathubutu kumwacha MUNGU kwa ajili ya kitu chochote, ni heri uache chochote kwa ajili ya MUNGU, Kwa kua katika maisha chochote chaweza kukuacha wakati wowote, Lakini MUNGU hawezi kukuacha, kwa maana atakuwa pamoja nawe siku zote za maisha yako.Furahia uwepo wa MUNGU maishani mwako AMEN.

The pictures from KINUKAMORI

Image
These are one of pictures from Marangu, KINUKA MORI marangu, KINUKAMORI

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MAKUMBUSHO HUKO UCHAGANI