SIFA KUU ZA KUMFANYA MKRISTO KUINGIA MBINGUNI

1.Kuzitubu dhambi na kuziacha,atubuye dhambi zake na kuziacha kabisa huyo ndiye atakaye ingia mbinguni
(mith 28:13,matendo 5:3-4)
2.Atakayejikana nafsi yake,Aikanae nafsi yake na kumfuata YESU huyo ndiye urithi ufalme wa MUNGU,ukiokoka unaweza ukatengwa na jamii inayokuzunguka,familia au unaweza ukaachwa na mme au mke wako kwa sababu ya kumfuata YESU,
(MATENDO 24:13,LUKA 18:25,LUKA9:21-22)ATAKAYEVUMILIA MATESO MPAKA MWISHO NDIYE ATAKAYESHINDA.

Popular posts from this blog

USIMWACHE MUNGU MAISHANI MWAKO (YESU)

HONGERA FPCT-SINGIDA